Munishi nae arejea nyumbani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Jun 2018
Munishi nae arejea nyumbani
Deogratius Munishi 'Dida' ni mlinda lango aliyeanza kuwika katika klabu ya Simba kabla ya kuhamia timu nyingine. Simba imefanikiwa kumrejesha nyumbani.

Dida aliyekuwa akisakata kabumbu nchini Afrika Kusini amesajiliwa na Simba ikielezwa kuwa amesaini mkataba wa miaka miwili.

Msimu uliopita Aishi Manula alielemewa sana na majukumu baada ya kulazimika kucheza michezo mingi kutokana na tofauti ya ubora kati yake na wasaidizi wake.

Said Mohammed 'Nduda' aliyekuwa amesajiliwa ili kusaidiana na Manula alikabiliwa na majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu.

Kurejea kwa Dida Simba kutaimarisha maradufu eneo la ulinzi wa lango.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’