Kiungo mshambuliaji wa Simba Mohammed Ibrahim 'Mo' amekanusha taarifa kuwa yuko kwenye mazungumzo ya kusajiliwa na klabu ya Yanga.
Mo amesema baada ya mkataba wake kumalizika atasaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Msimbazi.
"Sijawahi kufanya mazungumzo na klabu ya Yanga, ofa pekee iliyo mezani ni ya Simba. Hizo taarifa zinazosambazwa kuwa nazungumza na Yanga sio za kweli."

ADVERTISE HERE