Jumapili, February 25 Yanga inatakiwa kuwa mkoani Ruvuma kucheza mchezo wa kombe la FA hatua ya 16 bora dhidi ya Majimaji.
Hiyo inamaanisha Yanga inatakiwa kurejea jijini Dar es salaam mapema baada ya mchezo wake dhidi ya St Louis ili wachezaji wapate muda wa kupumzika kabla ya safari ya Ruvuma.
Siku tatu baadae, February 28 Yanga itakuwa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda FC. Hivyo baada ya mchezo dhidi ya Majimaji, Yanga itaunganisha moja kwa moja Mtwara.
Baada ya mchezo dhidi ya Ndanda Yanga itaunganisha mkoani Morogoro kuivaa Mtibwa Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kati ya March 03/04

ADVERTISE HERE