Djuma ana matumaini makubwa Simba itafanya vizuri Kagame Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jun 2018
Djuma ana matumaini makubwa Simba itafanya vizuri Kagame Cup
Kocha wa Simba, Masoud Djuma amefunguka na kusema, kikosi chao kitafanya vizuri katika Mashindano ya Kombe la Kagame yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii.

Djuma amesema, sababu kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo hata kama watakutana na timu zilizomfunga kwenye mashindano ya Kombe la Sportpesa yaliyofanyika Kenya kwa sababu wamejiandaa vizuri na wana kila kitu.

"Sasa hivi tupo nyumbani tuna kila sababu ya kufanya vizuri tofauti na ilivyokuwa Kenya, tuna wachezaji wazuri na wana morali ya juu," alisema Djuma.

Masoud ameongeza kwa kusema, wameamua kuanza mazoezi mapema ili kupata nafasi ya kuangalia baadhi ya wachezaji wapya na ambao wamemaliza mikataba kama wanaweza kuwaongeza mipya.

"Huwezi ukasema mchezaji hana kiwango wakati alikuwa hapati nafasi ya kucheza, sasa hivi ni muda sahihi wa kuangalia wachezaji vizuri kabla ya kuachana nao, pia kuwaangalia vizuri wale wapya kabla hatujawasainisha," Djuma alisisitiza

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’