Ubingwa VPL waipa Simba Mil 96

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jun 2018
Ubingwa VPL waipa Simba Mil 96
Wadhamini wa Ligi Kuu, kampuni ya Vodacom mwaka huu wameongeza zawadi kwa bingwa ambapo Simba itapata jumla ya Mil 96 baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa msimu huu.

Msimu wa 2016/17 bingwa wa michuano hiyo alipata Mil 80.

Simba imekabidhiwa mfano wa hundi yenye kiasi hicho cha pesa kwenye hafla ya utolewaji tuzo za ligi kuu iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es salaam.

Wakati Bingwa akiapata Mil 96, Mshindi wa pili Azam FC amepata Mil 48 huku mshindi wa tatu Yanga ikipata Mil 34.

Prisons imepata Mil 27 baada ya kuibuka mshindi wa nne.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’