Yanga iko njiani kuelekea visiwa vya Shelisheli itakakoikabili St Louis kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa Afrika.
Yanga imetoka jijini Dar es salaam hadi Kenya, uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta ilikounganisha Ndege ya moja kwa moja kwenda Shelisheli.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Hussein Nyika ndiye anayeongoza msafara wa Yanga.

ADVERTISE HERE