Vijana wa Simba wamefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya kombe la Uhai baada ya kuichapa Azam FC kwa mikwaju 4-3 ya penati kufuatia sare ya bao 1-1.
Mchezo wa kusaka mshindi wa tatu ulipigwa mapema leo Alhamisi, Juni 21 kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma.
Simba ilikuwa ya kwanza kufunga bao kwenye dakika ya saba kupitia kwa Yahya Mbegu.
Azam FC ilisawazisha kupitia kwa Paul Peter kwenye dakika ya 33.
Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi kwenye changamoto ya mikwaju ya penati baada ya matokeo ya 1-1 katika muda wa kawaida.

ADVERTISE HERE