Vijana wa Simba, leo wanashuka kwenye viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma kuumana na Azam FC kwenye mchezo wa kusaka mchindi wa tatu michuano ya kombe la Uhai.
mchezo huo utapigwa saa saba mchana kabla ya mchezo wa fainali kati ya Stand United dhidi ya Mtibwa Sugar.
Simba, mabingwa watetezi wa michuano hiyo waliondolewa kwenye nusu fainali baada ya kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar.
Licha ya kuutema ubingwa, Simba inastahili sifa kwa hatua waliyofikia kwani ni miongoni mwa timu zilizoonyesha kandanda ya kuvutia kwenye michuano hiyo iliyoshirikisha timu za vijana umri chini ya miaka 20.

ADVERTISE HERE