Mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 kati ya Mwadui FC dhidi ya Simba, umekamilisha mzunguuko wa 18 ligi kuu ya Vodacom.
Aidha matokeo hayo yamepunguza tofauti ya pointi kati ya vinara wa ligi Simba na Yanga iliyo kwenye nafasi ya pili sasa kuwa pointi tano.
Mwadui FC nayo imesogea kutoka nafasi ya 12 mpaka nafasi ya 10.

ADVERTISE HERE