Kikosi cha Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba kesho kinatarajiwa kuanza kujifua kwenye viwanja vya Boko Veterans ikiwa ni maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame inayoanza wiki ijayo.
Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo Masudi Djuma anawasili leo kutoka mapumziko nchini Rwanda.
Simba itaanza michuano hiyo Juni 30 kwa kucheza na Dakadaha ya Somalia kwenye mchezo utakaopigwa katika uwanja wa Taifa.
Simba iko kundi C pamoja na APR, Singida United na Dakadaha.

ADVERTISE HERE