Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja Uhuru kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga kesho Jumamosi.
Simba iliwasili mapema leo kutoka Zanzibar kwa usafiri wa ndege na kufikia hoteli ya Kimataifa ya Serena.
Aidha kocha Mkuu wa Simba Joseph Omog alimkabidhi Erasto Nyoni tuzo aliyoshinda ya mchezaji bora wa mchezo wa Simba dhidi ya Njombe Mji

ADVERTISE HERE