Beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani leo ameachana na ukapera kwa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu.
Yanga inamtakia kila la kheri katika maisha ya ndoa aliyoyaanza rasmi leo.
Yanga inamtakia kila la kheri katika maisha ya ndoa aliyoyaanza rasmi leo.
ADVERTISE HERE