Mabingwa watetezi wa kombe la Uhai, Simba leo wanashuka kwenye uwanja wa Info ndani ya chuo kikuu cha Dodoma kucheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa nusu fainali.
Mchezo huo utapigwa kuanzia saa tisa Alasiri.
Simba ilitinga nusu fainali ya michuano hiyo baada kuitoa Prisons kwa mikwaju ya penati 5-4 kufuatia suluhu ya 0-0 kwenye mchezo wa robo fainali.
Mchezo mwingine wa nusu fainali unachezwa leo saa saba mchana kati ya Azam FC dhidi ya Stand United.

ADVERTISE HERE