Kikosi cha Simba kimewasili leo kutoka Zanzibar kilikokuwa kimeweka kambi tangu Jumatatu iliyopita kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga kesho.
Wachezaji, benchi la ufundi na viongozi waliokuwa wameandamana na timu hiyo wamewasili salama tayari kuikabili Yanga kesho.
Wachezaji, benchi la ufundi na viongozi waliokuwa wameandamana na timu hiyo wamewasili salama tayari kuikabili Yanga kesho.
ADVERTISE HERE