Jana kwenye tuzo za Mo Simba Awards 2018, Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre alikuwa miongoni mwa waalikwa na alipokea tuzo kwa niaba ya benchi la Ufundi.
Wakati akihojiwa baada ya hafla hiyo iliyofanyika Hyatt Regency - Kilimanjaro Hotel, Mkuu wa Idara ya habari ya klabu ya Simba Haji Manara alisema kuna asilimia 90 ya kocha huyo kuondoka baada ya mkataba wake kumaliza Juni 18 2018.
"Kama mlivyomsikia mwenyewe amesema amekuja kuaga, kuna asilimia 10 ya uwezekano wa yeye kubaki baada ya mkataba wake kumalizika."
Lakini wakati Manara akitoa kauli hiyo, Kaimu Rais wa Simba Salum Abdallah 'Try Again' amesema Lechantre bado ni kocha wa Simba na ataondoka kwenda likizo.

ADVERTISE HERE