Adam Salamba amesajiliwa na Simba akitokea klabu ya Lipuli FC kwa mkataba wa miaka miwili.
Simba inadaiwa kutoa Mil 40 kwa Lipuli FC ili kumuachia mchezaji huyo lakini pia Salamba amesaini mkataba mnono uliojumuisha kununuliwa gari mpya.
Ahadi hiyo imetekelezwa na Bilionea wa Simba Mohammed Dewji 'Mo'.

Salamba amenunuliwa gari aina ya Toyota Crown ambayo thamani yake ni kati ya Sh milioni 13 hadi milioni 16.

ADVERTISE HERE