Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC leo, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kusafiri kwenda jijini Mbeya kucheza mchezo wa mzunguuko wa tatu kombe la FA dhidi ya Ihefu FC.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Sokoine Jumanne, Januari 30.
Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Iringa kuivaa Lipuli FC Jumamosi ijayo, Februari 03 kabla haijarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis utakaopigwa kwenye dimba la Taifa, Februari 10

ADVERTISE HERE