Leo mabingwa wapya Simba, wanatarajiwa kukabidhiwa kombe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli baada ya mchezo hidi ya Kagera Sugar.
Mbali na mchezo huo kutakuwa na michezo mingine mitatu kama ratiba nzima ya michezo yote ya kumaliza msimu inavyoonyesha hapa chini.
Ligi kuu ya Vodacom itamalizika siku ya Jumatatu May 28 kwa timu zote nane kuteremka dimbani.

ADVERTISE HERE