Simba kamili kuikabili Kagera Sugar uwanja wa Taifa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 May 2018
Simba kamili kuikabili Kagera Sugar uwanja wa Taifa leo
Saa nane na robo mchana wa leo kikosi cha mabingwa wapya wa ligi kuu ya Vodacom Simba kitakuwa kwenye uwanja wa Taifa kucheza na Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguuko wa 29 wa ligi.

Mchezo huo unaotarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki wa Simba nchini utaanza mapema ili baadae kutoa nafasi kwa mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli kukabidhi kombe la ubingwa wa ligi kwa Simba na pia kupokea taji la CECAFA kutoka kwa vijana wa Serngeti Boys.

Kwa siku mbili kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre amekuwa akiwafanyisha mazoezi ya mchana wachezaji wake ili kuwa tayari kwa mchezo huo.

Simba inatarajiwa kuwakosa Aishi Manula na Yusuph Mlipili wanaotumikia adhabu ya kadi mbili za njano kila mmoja.

Milango ya uwanja wa Taifa itafunguliwa asubuhi na mapema ili kuwapa nafasi mashabiki wengi kuweza kuingia mapema tayari kushuhudia tukio hilo la kihistoria.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’