Chirwa kurejea dimbani mchezo dhidi ya Azam FC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2018
Chirwa kurejea dimbani mchezo dhidi ya Azam FC
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa atamaliza adhabu yake ya kukosa michezo mitatu keshokutwa Jumapili wakati Yanga itakapoivaa Ruvu Shooting kwenye dimba la Taifa.

Chirwa amekosa michezo dhidi ya Mbao FC, Mwadui FC na sasa atamaliza adhabu dhidi ya Ruvu Shooting.

Baada ya mchezo wa keshokutwa, Yanga itakamilisha mzunguuko wa kwanza kwa kuivaa Azam FC wikiendi ya Januari 27 kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’