Thamani ya Simba ni zaidi ya timu zote Afrika Mashariki - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 May 2018
Thamani ya Simba ni zaidi ya timu zote Afrika Mashariki - Manara
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika klabu ya Simba, Haji Manara, amesema Simba ndiyo klabu ghali Afrika Mashariki na Kati.

Manara ameeleza hayo kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda jana kwa kusema kuwa hakuna dalili za kuukwepa ubingwa, na hii inatokana na namna ilvyojiwekeza kwa kuwa na wachezaji wengi wazuri msimu huu.

Akizungumza kupitia Radio One, kwenye kipindi cha Michezo, Manara ametamba kwa kueleza ubingwa kuelekea Simba kutokana na ughali wa kikosi hicho kuliko timu zote za Afrika Mashariki na Kati.

Manara amefunguka kuwa Simba ina thamani ya Bilioni 1.3 huku akiamini kwa namna kikosi hicho kilivyo msimu huu hakuna atakayeweza kuwazuia wasiuchukue ubingwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
3m ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
2h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
20h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
23h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’