Yanga kamili kuivaa URA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2018
Yanga kamili kuivaa URA
Muda mchache ujao, kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Amani visiwani Zanzibar kuivaa URA kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi.

Yanga inaingia kwenye mchezo huo huku wachezaji wakiwa na ari baada ya kumaliza hatua ya makundi bila ya kupoteza mchezo.

Kocha Msaidizi Shedrack Nsajigwa amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na wachezaji wake wako tayari isipokuwa beki Abdallah Shaibu aliyeumia katika mchezo wa kwanza.

Papi Tshishimbi aliyekosa mchezo uliopita anatarajiwa kurejea dimbani katika kikosi cha Yanga.

Nsajigwa amesema kikosi cha leo kitapangwa kufuatana na mahitaji ya mchezo na anaamini wachezaji watakaopata nafasi watafanikisha malengo ya Yanga ya kutinga fainali na baadae kutwaa taji hilo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’