Sare zimeendelea kutawala ligi kuu ya Vodacom baada ya mchezo pekee wa mzunguuko wa saba uliopigwa leo kati ya Mwadui FC dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
Aidha Kagera Sugar iliyomaliza nafasi ya tatu msimu uliopita imeendelea kusaka ushindi kwa tochi baada ya kupata sare ya tatu katika michezo saba iliyopita.
Mechi nyingine sita ukiwemo mchezo wa Simba dhidi ya Njombe Mji zinatarajiwa kupigwa kesho Jumamosi wakati Yanga watashuka kwenye dimba la Kambarage keshokutwa Jumapili kuumana na Stand United.

ADVERTISE HERE