Kikosi cha Simba kinaendelea kujifua mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga Jumapili ijayo.
Baada ya mchezo dhidi ya Lipuli FC, Simba ilirejea mkoani Morogoro kuweka kambi kwa ajili ya mchezo huo wa April 29.
Leo Simba imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Highlands mkoani humo.
Mchezo dhidi ya Yanga una umuhimu wa kipekee kwani ushindi huenda ukaihakikishia rasmi Simba ubingwa wa VPL msimu huu.

ADVERTISE HERE