Simba yajifua kuikabili Tanzania Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Apr 2018
Simba yajifua kuikabili Tanzania Prisons
Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba leo kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Tanzania Prisons.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatatu, April 16 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mazoezi hayo yanayosimamiwa na kocha Mkuu Pierre Lechantre yanafanyika katika uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam.

Baada ya kuibuka na ushindi katika michezo mitatu mfululizo dhidi ya Njombe Mji, Mtibwa na Mbeya City, Simba itakuwa inasaka ushindi mwingine dhidi ya Prisons ili kuuukaribia zaidi ubingwa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’