Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa leo alimtembelea kiungo Athumani Chama aliyewahi kutamba na klabu ya Yanga kwenye miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka 90.
Chama amelazwa Katika Hospitali ya Muhimbili akisumbuliwa na maradhi.
Get Well Soon mkongwe Athumani Chama 'Jogoo'.
Chama amelazwa Katika Hospitali ya Muhimbili akisumbuliwa na maradhi.
Get Well Soon mkongwe Athumani Chama 'Jogoo'.
ADVERTISE HERE