Huyu hapa msaidizi mpya wa Omog

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Oct 2017
Huyu hapa msaidizi mpya wa Omog
Kufuatia kujiuzulu kwa kocha Jackson Mayanja, klabu ya Simba tayari imefanya mazungumzo na kocha Djuma Masudi kutoka Burundi.

Djuma anatarajiwa kutua leo kumalizana na uongozi wa Simba tayari kuanza kibarua cha kumsaidia Omog mara moja.

Djuma aliwahi kucheza kandanda, akichezea Inter FC ya Ligi Kuu ya Burundi. Ni kocha kijana mwenye mizuka na uwezo mkubwa wa kupandisha morali ya wachezaji kama alivyo Jamhuri Kihwelu 'Julio' au Ettiene Ndayiragige wa Mbao FC.

Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka la Rwanda, Djuma ni kocha mwenye maneno mengi na rafiki wa wachezaji na inapotokea timu imeshinda hupandisha wazimu kama kocha wa Chelsea, Antonio Kante.

Kocha huyo ameipa Rayon Sports ya Rwanda ubingwa msimu uliopita kabla ya kuachia ngazi. Mafanikio yake katika Ligi ya Rwanda msimu uliopita yameivutia Simba na kuona ni mtu sahihi wa kumsaidia kocha wa sasa Joseph Omog.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’