Kwa takwimu hizi kwa nini Simba isitwae ubingwa?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2018
Kwa takwimu hizi kwa nini Simba isitwae ubingwa?
Simba ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo msimu huu kwenye ligi kuu ya Vodacom.

Katika michezo 21 iliyocheza, imetoka sare saba na kushinda michezo iliyobaki.

Simba imefunga jumla ya mabao 52 na kuruhusu mabao 11 pekee. Yanga iliyo nafasi ya pili imefunga mabao 38 pekee na kuruhusu mabao 11 pia.

Mshambuliaji Emanuel Okwi anaendelea kuongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa na mabao 16 akifuatiwa na John Bocco aliyefungana na Obrey Chirwa wa Yanga wakiwa na mabao 12 kila mmoja.

Shiza Kichuya ndiye kinara wa kutengeneza mabao akiwa ametengeneza mabao saba lakini pia amefunga mabao saba.

Simba ina kila sababu ya kutwaa ubingwa msimu huu na hakika wachezaji, benchi la Ufundi na Viongozi wanastahili pongezi kwa kazi kubwa waliyoifanya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’