Stars safarini Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2021
Stars safarini Kenya

Msafara wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', umeondoka nchini kuelekea Kenya ambako watacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Harambee Stars

Michezo hiyo ni sehemu ya maandalizi ya Stars kabla ya mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Guinea ya Ikweta na Libya ambazo zitapigwa mwishoni mwa mwezi huu

Ikiwa Kenya, Tanzania itacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Harambee Stars zitakazopigwa March 15 na March 18

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’