Mwambusi kuweka mkakati wake mezani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2021
Mwambusi kuweka mkakati wake mezani

Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi amesema anahitaji kuweka mikakati kulingana na mashindano yaliyoko mbele na namna gani wajipange kuhakikisha wanatimiza malengo yaliyokusudiwa

Uongozi wa Yanga umemrejesha Mwambusi kwenye nafasi ya kocha msaidizi baada ya kuvunjwa kwa benchi la ufundi lililokuwa likiongozwa na kocha Cedric Kaze

Wakati mchakato wa kusaka kocha mpya ukiendelea, Mwambusi amekaimu nafasi ya Kocha Mkuu

Kocha huyo wa zamani wa Mbeya City, amesema atazungumza na wachezaji wake siku ya Jumatatu ili kuweka mikakati sawa.

"Nitakutana na wachezaji na kufanya nao kikao tuweke mikakati yetu kuelekea kwenye mechi za Ligi Kuu, Kombe la FA namna ya kujipanga kufanya vizuri,”alisema

Aidha, Mwambusi amesema mkakati huo lazima uende sambamba na mkakati wa uongozi

Lengo la kwanza la Yanga msimu huu ni kunyakua ubingwa wa ligi kuu na lengo la pili ni kushinda taji la FA

Bado nafasi ya kushinda ubingwa wa VPL ipo lakini mabingwa hao wa kihistoria wanapaswa kujisahihisha makosa waliyofanya tangu kuanza kwa duru ya pili ambapo wameshinda mechi moja, sare tatu na kufungwa mchezo mmoja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’