Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Kim Poulsen ametaja majina ya wachezaji 23 wanaoondoka kesho kuelekea nchini Kenya kwa ajili ya kucheza mechi mbili za kirafiki
Michezo hiyo itachezwa Machi 15 na 18 kabla ya kurejea kwenye mechi za Kufuzu Afcon dhidi ya Equatorial Guinea pamoja na Libya
KIKOSI
1. Juma Kaseja
2. Metacha Mnata
3. Kelvin Yondani
4. Nickson Kibabage
5. Israel Mwenda
6. Yassin Mustapha
7. Dickson Job
8.Salum Abubakar
10. Ayoub Lyanga
11. Farid Mussa
12. Kelvin John
13. Deus Kaseke
15. Idd Seleman
16. Feisal Salum
17. Baraka Majogoro
18. Bakari Mwamnyeto
19. Meshack Abraham
20. Laurent Alfred
21. Nassor Saadun
22. Abdul Seleman
23. Himid Mao
ADVERTISE HERE