Mshambuliaji wa Yanga Fiston Abdul Razak amebadili muonekano wa nywele zake kujitofautisha na winga Tuisila Kisinda
Fiston na Tuisila walikuwa na muonekano wa nywele uliokuwa ukifanana jambo ambalo liliwawia vigumu baadhi ya mashabiki kuwatofautisha wanapokuwa uwanjani
Mwanachama na Mhamasishaji maarufu Mboto Haji aliwahi kuwaomba wawili hao wakubaliane ili kila mmoja awe na mtindo wake tofauti!
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Fiston amesema wamekubaliana na Tuisila


ADVERTISE HERE