Aussems atajwa ukocha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Mar 2021
Aussems atajwa ukocha Yanga

Taarifa ya uhakika ni kuwa uongozi wa klabu ya Yanga umewasiliana na kocha wa AFC Leoprads Patrick Aussems ambaye alijiunga na timu hiyo mwezi uliopita

Kocha huyo wa zamani wa klabu ya Simba, anapigiwa chapuo kuchukua nafasi iliyoachwa na Cedric Kaze aliyefutwa kazi jana

Yanga iko kwenye mchakato wa kulisuka upya benchi lake la ufundi, majina kadhaa ya makocha yanatajwa kuwa kwenye orodha ya wadhamini GSM

Aussems alipata mafanikio wakati akiinoa klabu ya Simba, akifanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu pamoja na kusaidia timu hiyo kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa msimu wa 2018/19

Uongozi wa Yanga  unahaha kusuka benchi la ufundi haraka ili kutumia vyema wiki tatu za mapumziko kabla ya ligi kuu kurejea mwezi April

 

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’