Yondani uso kwa uso na Yanga leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Mar 2021
Yondani uso kwa uso na Yanga leo

Beki kisiki Kelvin Yondani aliyeacha 'legacy' katika klabu ya Yanga leo kwa mara ya kwanza anacheza dhidi ya waajiri wake hao wa zamani katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Yondani alijiunga na Polisi Tanzania katika usajili wa dirisha dogo akikaa nje kwa miezi sita tangu alipoachana na Yanga

Yondani tayari ameichezea Polisi Tanzania mechi mbili huku akikabidhiwa kitambaa cha unahodha

Nyota wengine wa Polisi Tanzania ambao waliwahi kupita Yanga ni pamoja na Abdulaziz Makame 'Bui' anayecheza kwa mkopo. Wengine ni Pato Ngonyani, Tariq Seif na Pius Buswita

Je Yondani ataweza kuwadhibiti washambuliaji wa Yanga leo?

Mchezo ni saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’