Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Vinara hao wa ligi kuu wako imara, wakiahidi kuwapa furaha mashabiki wao baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union






ADVERTISE HERE