VPL : Azam Fc yavutwa shati Shinyanga, Mexime atimuliwa Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2021
VPL : Azam Fc yavutwa shati Shinyanga, Mexime atimuliwa Kagera Sugar

Baada ya ile sare ya mabao 3-3 dhidi ya Yanga, majanga yameendelea kuiandama Kagera Sugar ambayo leo imepoteza mchezo wa tatu mfululizo wakipigwa bao 1-0 na Namungo Fc katika uwanja wao wa nyumbani

Kipigo hicho kimepelekea wakata miwa hao kuchukua uamuzi wa kumtimua kocha Meckie Mexime

Katika mechi nyingine zilizopigwa leo, Azam Fc imelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mwadui Fc wakati Ruvu Shooting inayonolewa na kocha Charles Mkwasa imezinduka na kuifumua JKT Tanzania mabao 3-0

Ushindani umeongezeka katika duru hii ya pili baadhi ya timu zikipambana kujinusuru na kuteremka daraja

Vinara wa ligi Yanga wao watashuka dimbani kesho Jumapili mkoani Arusha katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’