Mechi dhidi ya Polisi Tanzania kupigwa Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2021
Mechi dhidi ya Polisi Tanzania kupigwa Arusha

Baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Coastal Union, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Arusha ambako siku ya Jumapili wanakabiliwa na mchezo mwingine mgumu dhidi ya Polisi Tanzania

Mchezo huo wa ligi kuu raundi ya 23, utapigwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Wananchi hawana muda wa kupoteza, wana siku moja ya kusahihisha makosa kabla ya kukabiliana na maafande hao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’