Mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi alipata majeraha kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ken Gold
Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kuwa Nchimbi atakosekana kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa uwanja wa Mkwakwani leo Alhamisi
Nchimbi anaungana na Adeyum Saleh ambaye pia ameondolewa kikosini baada ya kupata majeraha
Carlinhos anatumikia adhabu ya kadi nyekundu (anakosa mechi tatu) aliyopewa kwenye mchezo wa FA dhidi ya Ken Gold
Mapinduzi Balama na Saido Ntibazonkiza nao wamebaki jijini Dar es salaam wakiuguza majeraha
ADVERTISE HERE