Kikosi cha Yanga jioni ya leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika dimba la Mkwakwani kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Alhamisi katika uwanja huo
Kocha Cedric Kaze akiwa na vijana wake, wamekamilisha maandalizi yao tayari kwa mchezo huo ambao Yanga inahitaji kuondoka na alama zote tatu ili kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi






ADVERTISE HERE