Yanga Princess vs Simba Queens, mechi ya ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2021
Yanga Princess vs Simba Queens, mechi ya ubingwa

Keshokutwa Ijumaa pale uwanja wa Uhuru kinadada wa Yanga Princess watakuwa uwanjani kukata mzizi wa fitina wakiwakabili watani zao wa Jadi Simba Queens katika mchezo ambao unaweza kuamua hatma ya ubingwa msimu huu

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Mo Simba Arena, timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana

Yanga Princess wanahitaji kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda ubingwa

Ndio, Simba Queens ndio timu inayoweza kuchuana na Yanga Princess katika mbio za ubingwa

Wako nafasi ya pili wakiwa na alama 36, alama mbili nyuma Yanga Princess wenye alama 38

Ushindi kwa Yanga Princess utawasha taa ya kijani kuelekea ubingwa wa kwanza wa ligi kuu ya Wanawake

Yanga Princess hii sio ile waliyokuwa wakiifunga mabao saba misimu ya nyuma. Msimu huu bado kinadada hao kutoka Mitaa ya Twiga na Jangwani hawajapoteza mchezo, wamepata sare mbili tu

Hiyo Ijumaa Simba Queens ndio watajua kuwa hawajui....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’