Telela abobea kwenye Uhasibu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2021
Telela abobea kwenye Uhasibu

Mnamkumbuka yule kiungo wa Yanga Salum Telela wakati wa kocha Hans van Pluijm na Charles Boniface Mkwasa ile Yanga ya kampa-kampatena?

Pamoja na kulisakata gozi la n'gombe, Telela pia alikuwa msomi wakati huo alikuwa akiendelea na masomo yake ya Uhasibu

Jana Telela aliteuliwa kuwa Mhasibu Mkuu wa chama Cha mpira wa miguu mkoa wa Mtwara (MTWAREFA)

Baada ya kuondoka Yanga Telela alielekea Mtwara ambako pamoja na kuendeleza masomo yake, aliitumikia Ndanda Fc kwa muda mfupi kabla ya kutundika 'daluga' mapema

Mwamba huyu pia amewahi kufanya kazi Shirika la ugavi wa Umeme (TANESCO) kama Mhasibu huko mkoani Mtwara

Hongera kwake...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’