Yanga Princess imerejea juu ya msimamo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' baada ya kuichapa Mlandizi Queens mabao 5-1
Ni ushindi muhimu kwa Yanga Princess ambayo sasa imefikisha alama 38 na kuishusha Simba Queens kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imeshikilia nafasi hiyo chini ya saa 24
Ilikuwa siku njema kwa mshambuliaji kinara wa mabao Aisha Masaka aliyefunga mabao matatu hat-trik
Mpango ni uleule, lazima kieleweke msimu huu
ADVERTISE HERE