Yanga safarini Tanga kuifuata Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2021
Yanga safarini Tanga kuifuata Coastal Union

Msafara wa kikosi cha Yanga unatarajiwa kuondoka leo kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Alhamisi, March 04 katika uwanja a Mkwakwani

Yanga inaelekea Tanga na kikosi cha wachezaji 27 na viongozi nane wa benchi la ufundi

Wachezaji wanne hawakujumuishwa katika safari hiyo kutokana na sababu mbalimbali

Omary Chibada, Saido Ntibazonkiza na Mapinduzi Balama wao ni majeruhi wakati Carlinhos anatumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ken Gold

Afisa Habari wa |Yanga Hassan Bumbuli amesema viongozi wengine wtajiunga na timu mkoani Tanga Jumatano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’