Kaze akerwa majeruhi kuitwa timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2021
Kaze akerwa majeruhi kuitwa timu za Taifa

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze ameonyesha kutofurahishwa kuitwa kwa wachezaji wake Saido Ntibazonkiza na Dickson Job katika timu za Taifa

Kaze ameeleza kushangazwa na wachezaji hao kuitwa timu za Taifa kwani anafahamu wote ni majeruhi

"Wakati wachezaji bado wapo kwenye majeruhi wanaitwa kwenye timu za Taifa, haioneshi picha nzuri kwa Tanzania hata Burundi kwa sababu hawakuwasiliana na sisi"

"Mchezaji kama Dickson Job aliumia akiwa timu ya Taifa wakati wanajiandaa kwenda CHAN, wakaturudishia mchezaji"

"Ameumia kakaa mwezi tunamtunza na kumfanyisha mazoezi. Sasa hivi amefanya mazoezi mara mbili tu na wenzake unashtuka ameitwa timu ya Taifa"

"Said Ntibazonkiza yupo kwenye majeruhi ya muda mrefu lakini unasikia ameitwa timu ya taifa, ni kitu cha kushangaza sana lakini nitawasiliana na timu za taifa tujue kitu gani wachezaji hao wataenda kufanya wakati ni majeruhi," alisema Kaze

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’