Kamati ya Rufaa ya Maadili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemwachia huru Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli baada ya kutengua adhabu ya Kamati ya Maadili ya kumfungia miaka mitatu
Bumbuli alikata rufaa akipinga kifungo hicho baada kudaiwa kuchelewa kulipa faini ya Tsh Milioni Tano aliyokuwa amepewa na Kamati ya Maadili ya TFF
Hatimaye Kamati ya Rufaa imetenda haki kumrejesha Bumbuli kazini
ADVERTISE HERE