Ntibazonkiza ajumuishwa timu ya Taifa ya Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Feb 2021
Ntibazonkiza ajumuishwa timu ya Taifa ya Burundi

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa timu ya Taifa ya Burundi kuelekea mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2022

Kwa wiki kadhaa Ntibazonkiza alikuwa nje akisumbuliwa na majeraha lakini inaelezwa nyota huyo aliyewahi kutamba barani Ulaya, yuko tayari kurejea dimbani baada ya kupona majeraha

Wakati Ntibazonkiza akiitwa timu ya Taifa ya Burundi, Metacha Mnata, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Yassin Mustafa, Feisal Salum, Farid Mussa, Ditram Nchimbi na Deus Kaseke wao wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’