Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze jana alipokea tuzo za Kocha Bora wa VPL mwezi October na December 2020
Baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Kaze akapiga picha ya pamoja na benchi lake la ufundi
Kaze amesema tuzo hizo ni si zake peke yake, benchi zima la ufundi limehusika
Aidha kocha huyo raia wa Burundi amesema tuzo binafsi ya kocha na mchezaji hazina maana sana, yeye anapendelea zaidi tuzo kwa ajili ya timu nzima
ADVERTISE HERE