Senzo awaongezea mzuka wachezaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2021
Senzo awaongezea mzuka wachezaji

Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa raundi ya nne kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Kengold

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Uhuru

Mshauri Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa alihudhuria mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria ambapo pia alipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji na benchi la ufundi

Yanga imeuchukulia mchezo huo kwa umuhimu mkubwa wakiwa na malengo ya kushinda na kusonga mbele raundi inayofuata

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
5h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’