Kinadada wa Yanga Princess wameounguzwa kasi na wenzao wa Baobab Queens baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana katika mchezo uliopigwa mkoani Dodoma
Yanga Princess wameendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Wanawake baada ya kufikisha alama 35
Mapambano yanaendelea...!
ADVERTISE HERE