Baada ya mazoezi makali, wachezaji wa Yanga leo walishiriki program maalum ya mazoezi ya kuogelea



Wananchi wanaendelea na maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kengold ambao utapigwa siku ya Jumamosi Februari 27 katika uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE